Kufanya default storage as memory card kwenye boom J8

Ndigwa

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
210
59
Tafadhali naomba msaada wenu, nimeenda kwenye setting lakini naona haisaidii. Kwenye setting nimefanya default storage as memory card lakini kila ninachofanya kwenye boom J8 kinajisevu kwenye phone, sijaelewa nini tatizo
 
ina android ngap hio simu? ukiwa marshmallow kuna kitu kinaitwa adoptable storage ambayo inaunganisha memory card na internal memory kuwa memory moja.

hivyo nenda setting halafu about angalia kama ni android 5 au 6
 
Ni 5.1
 
Mi pia but yangu no Android 6 jinsi gani naweza Fanya HVO maana nkicheki options sioni
 
kama option haipo tumia adb kuna comand rahisi tu unafanya hio partition,

search youtube utaona video kibao zinafundisha
 
Back
Top Bottom