Mimi nafikiri hiyo application INA shida mimi Simu yangu sijajua root lakini application ina sema ni unroot device nikashangaa, nafikiri vodacom waiangalie vizuri hiyo application haiko sawa au bado haijakaa vizuri kwa matumizi.Naomba mwenye kujua namna ya ku unroot device anisaidie ili ni unroot simu yangu niweze kutumia new m pesa app
Ulijifunza kunya kabla ya kujifunza kutawadha, ushakunya sasa wacha mavi yakunukie
Ulitumi ipi kingroot?Naomba mwenye kujua namna ya ku unroot device anisaidie ili ni unroot simu yangu niweze kutumia new m pesa app