Je iPhone iliyokuwa refurbished inafanya kazi vyema?

Simu refurbished haimaanishi kuwa ni simu iliyokuwa flashed lakini ni simu used na ikarudishwa dukani au kwa mtengenezaji(kwa sababu ya kuwa Na tatizo moja ama lingine) . Sasa mwenye duka au mtengenezaji akirudishiwa hiyo simu na kutengeneza hitilafu ambayo hiyo simu ilikuwa nayo na kuhakikisha haina tatizo tena ataiuza kama refurbished. Kwahiyo ufanyaji kazi wa hiyo simu hauna tofauti na iPhone mpya kwenye box.

Sasa Je hiyo refurbished ni kutoka kwa mtu gani "Manufacturer Refurbished" Inamaanisha Apple mwenyewe kaitengeneza na kuona inakidhi vigezo Vya kuuzwa tena au Seller refurbished Inamaanisha muuzaji mwenyewe kaitengeneza na kuona inakidhi vigezo Vya kuuzwa tena. Hiyo site soma reviews za huyo seller na tafuta more information asije kuwa mwizi na mwisho wa siku ukatumiwa bidhaa fake. Anyway hizi iPhone refurbished bongo wengi wanatumia sana na HATA HAWAJUI KUWA NI REFURBISHED na hazina shida. Na refurbished usually ni bora kuliko used.
 
a

asante sana kaka kwa maelezo yako. shukrani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom