lipoprotein
Member
- Oct 4, 2016
- 51
- 58
Jaman kuna simu yangu inaonyesha hayo maneno nikitaka kuinstall WhatsApp apps, so hata ukibahatika kuinstall bado kupitia WiFi bado kusend text inasumbua.
Msaaada tafadhari
Ni change nn maana Nimejaribu Ku reinstallation bado inazinguaChange apn settings itakaa sawa tu
HalotelUnatumia line gani
APN mpya? Nibun auNenda kwenye mobile settings, mobile nertwork, access point names, andika apn mpya
Mkuu nisaidie jinsi ya kumblock mtu anayekazimisha kujirudisha keene group la whatsapp ambalo mimi ni admin, amepata link ya group, sasa ukimremove anajiunga mwenyeweUnatumia line gani
Hahahahhh, pole mkuu. Huyo mtu ana vituko.Mkuu nisaidie jinsi ya kumblock mtu anayekazimisha kujirudisha keene group la whatsapp ambalo mimi ni admin, amepata link ya group, sasa ukimremove anajiunga mwenyewe
Mkuu umeshafanikiwa?APN mpya? Nibun au
Bado aiseMkuu umeshafanikiwa?
asante mkuu nitajaribu, nitakupa mrejeshoHahahahhh, pole mkuu. Huyo mtu ana vituko.
Fanya kama unataka kuadd mtu mwingine:
1. Add participant
2. Invite to group via link
3. Revoke link
Hapo utakuwa umebatilisha ile link ya zamani na kuweka link mpya. Kwa hiyo wenye link ya zamani hawataweza kujiunga.