Achinsyene
Member
- Jan 28, 2017
- 24
- 21
Habari wakuu. Simu yangu aina ya HUAWEI Y520 huwa inazima kila baada ya dk 3, hususani nikiwa ninaitumia; ila kama siitumii na nimeiwasha, haizimi. Nimejaribu kufanya factory reset zaidi ya mara tano lakini bado tatizo linaendelea. Kwa wajuvi wa tatizo hili, suluhisho ni nini?