Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,243
habari za wakati huu wanajamii, nina tatizo kwa mwenye kusaidia anisaidie tafadhali, nina laptop aina ya dell latiyude E5400, 32bit, hivi karibuni kuna mistari mistar inajitokeza kwenye kioo ikiwa on, kwa mwenye kunisaidia, tafadhali naomba mnisaidie niweze kuondoa hili tatizo,,