Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 25,430
- 72,668
Wana jukwaa habari?
Anatafuta android app kwaajili ya kublock incoming sms. najua nyingi zinaweza iyo kazi but zinaweka spam box or blocked box.
je naweza pata app (free) ambayo itakua inazi delete uko uko automatically sio hadi mimi niende. maana nikienda najikuta nazisoma sometimes. maana ya kublock inakua haipo maana unakua kama umezikusanya uzisome kwa pamoja. thanks.