Msaada, namna ya kufanya data recovery kwenye iphone

theearth

Member
Feb 9, 2017
79
125
Wadau! Natumaini mpo poa na harakati za kimaisha zinaendelea.

Hivi karibuni nilikikuta Sina ujanja, ikanidi nilirestore simu yangu (iphone) tukio Hilo lilipelekea kupoteza data zangu zote zilizokuwepo kwenye simu na Kwa Bahati mbaya sikuwahi kufanya backup sehemu yeyote.

Data zilizokuwepo kwenye simu ni muhimu sanaa kwangu ila sikuwa na namna nyingine zaidi ya kurestore simu.


NIMEKWAMA, NITASHUKURU SANAAA KAMA NIKIPATA NAMNA YA KUFANYA DATA RECOVERY.

ASANTENI.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom