Simu nzuri yenye ram ya 3gb na inatoa picha vizuri

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Habari ndugu zangu wa humu, naomba msaada wa simu gani ni nzuri inayopiga picha vizuri maana kwenye simu mimi huwa naangalia kamera na ram ,ninatumia tecno j8 mwanzo ilikuwa inapiga picha vizuri lkn saiv ukiwasha kamera inakuwa kama ina mawingu mawingu ,nina laki 350,000. Simugani itanifaa
 
Jaribu Phantom 6 ila itakubid uongeze laki moja
Ram 3GB
internal storage 32GB
Camera 13MP
Front 8MP
 
Simu za tecno naona camera yake huwa inafifia baada ya muda na unavozidi kuitumia ndo inazidi kufifia zaidi , nataka kampuni nyingine hata kama bei ni zaidi,
 
kama unaweza tumia simu za zamani note 4 inapatikana around 400,000 ni simu nzuri sana, kuanzia display camera hadi soc. sidhani kama kwa budget hio unaweza pata simu nzur zaidi ya hio
 
Habari ndugu zangu wa humu, naomba msaada wa simu gani ni nzuri inayopiga picha vizuri maana kwenye simu mimi huwa naangalia kamera na ram ,ninatumia tecno j8 mwanzo ilikuwa inapiga picha vizuri lkn saiv ukiwasha kamera inakuwa kama ina mawingu mawingu ,nina laki 350,000. Simugani itanifaa
kwani wewe unataka cm yenye kupiga picha vizuri we mpiga picha c ukanunue camera kwa ajili ya kupiga picha
 
Back
Top Bottom