Mwenye ujuzi

uswiswi

Member
Nov 21, 2016
36
21
Kwa mwenye ujuzi au uzoefu au utaalam..anisaidie..

Nimefunga solar panel W150 na W 100
Kwa ajir ya matumiz ya nyumbani kama kuwasha taa..za nje getin n.k

Je ni CELL(battery) gan nzuri naweza kufunga na yenye nguvu gani ?ukilinganisha na nguvu ya panel??
 
Umeanganisha panel parallel au series
 
Kosa la kwanza ulilofanya ni kununua panel zenye wattage tofauti.

Kitakachokutokea ni ukifunga series utapata current ndongo zaidi na hvyo kupunguza watts za combined system.

Nakushauri uifanye system yako iwe ya 24V kwa future expansion itakuwa rahisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom