Mtandao wa kompyuta ni kikundi cha kompyuta ambazo zimeunganishwa kwa madhumuni ya mawasiliano. Mitandao yaweza kupangwa kulingana na sifa mbalimbali Makala haya yanatoa maelezo ya ujumla ya...
Habari zenu wadau, husika na kichwa cha habari hapo juu. Machine iwe katika hali nzuri.
Kwa mawasiliano 0712687590. Unaweza tuma picha na details ya machine kwa namba hii.
Habari zenu wakuu....kwa anaeweza kunisaidia ili kujua ni wapi naweza kupata waya wa material ya "zinc". Nimejaribu kuulizia kwenye maduka ya vifaa vya umeme lakini sijafanikiwa na wauzaji wengine...
Kama ulikuwa ni fan wa Shazam na umeitumia windows phone, basi utambue ya kuwa utakapo-Uninstall au kureSet Simu yako basi hutaweza tena kuipata kutoka APP STORE.
officially kuanzai 7 february...
Wakuu mnaonaje speed ya internet kwa sasa hasa hapa morogoro mimi kiukweli iko slow sana tangu mvua zianze kunya aisee torrents zangu hazijaisha duh halotel,voda,na airtel mnaboa
DevOps is the procedure in which operations and development team work in coordination in the complete service lifecycle, from design through the development process to production support.In DevOps...
NINA BLOG YANGU ILA NINAHITAJI KUPATA TEFMPLATE AMBAYO ITAKUA SIMPLE HUSUSANI KATIKA UFUNGUKAJI WAKE NIKIZINGATIA WATU WENGI WANATUMIA SIMU..HIVYO MARA NYINGI NINAYOTUMIA IMEKUA NZITO SANA
Habari waungwana,
Napenda kushauri kama unaona hauko salama kutokana na hili wimbi la utekaji lililo halalishwa hapa nchini. Napenda kushauri kuwa tununue smart watch (saa za mkononi) ambazo...
Wanabodi,
Nimeangusha simu tajwa hapo juu kioo kimepata ufa ila simu inawaka vizuri tu,
Tatizo ni kwamba touch screen inazingua nashindwa kufanya chochote hata kuswipe screen lock.
Wakati mwingine...
Nina HTC kaiser/ HTC AT&T tilt ya kimarekani, haisapot simcard za bongo, naomba maujuz kwa aliye na uelewa wa ku unlock, ilikua inatumika kwa network za kimarekani ndo mana ipo under AT&T(...
Kuna wakati nilikua nikiwaza juu ya kutengeneza kitu sana sana katika swala la Elimu. Sasa nimefanikiwa kutengeneza app like game inaitwa Endless mathematics quiz, ni app ambayo nimeiweka...