Windows 10 inagoma kuinstall kwenye kompyuta yangu

danja de genzo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
542
803
Naomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika
the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to see whether you need an x86 {32-bit} or x64 {64-bit} version of the program,and then contact the software publisher.

msaada wenu wakuu.
 
Inamaanisha unaInstall program ya 32 bit kwenye Windows ya 64 bit au virce versa
 
tafuta manual ya pc yako kujua inatumia system gani ya 32bit au 64bit. coz window nazo zipo hivo kuna 32bit na 64bit.
 
Naomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika
the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to see whether you need an x86 {32-bit} or x64 {64-bit} version of the program,and then contact the software publisher.

msaada wenu wakuu.
Kama alivyosema @ymollel una-install 32bit kwenye 64bit PC au 64bit version kwenye PC ya x86/32bit ambayo siyo sahihi. Itakuwa unajaribu ku-install kutoka kwenye removeable media kama DVD au USB flash driver. Ungekuwa una-install kutumia Internet ingeweza kucheki PC yako automatic na ku-download version sahihi ya mashine yako. Kwa sasa unatakiwa ujue mashine yako ni 32bit au 64bit ili utafute version sahihi.
 
Naomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika
the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to see whether you need an x86 {32-bit} or x64 {64-bit} version of the program,and then contact the software publisher.

msaada wenu wakuu.

The error message you are getting normally means you have a 32-bit software that you are trying to install on a 64-bit system.
 
sawa mkuu nimeangalia nimekuta kama ulivyosema, kwahiyo window hii aifanyi kazi kwenye pc yangu
 
PIA NAOMBA UNISAIDIE SHORTCUT KEY ZANGU AZIFANYI KAZI NIMEJALIBU KUDOWNLOAD BAADHI YA APPLICATION LAKINI BADO NATUMIA HP ELITEBOOK 8470p.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom