kuna simu zina hio feature built in kama baadhi ya samsung na nyengine inabidi udownload apps.
unabonyeza menu button au dots tatu pale juu ili kupata hio menu, uanatakiwa ubonyeze ukiwa kwenye home screen.
kwa third party download launcher yoyote mfano action launcher then ingia setting halafu chagua app drawer then hidden app kisha chagua app unazotaka kuzificha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.