MSAADA: Nashindwa kuingia whatsapp, internet haisomi nikiingia

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
2,000
Habari zenu wakuu. Ninapata shida kwa siku ya pili sasa, whatsapp nashindwa kabisa kuingia. Internet inasoma H+ 200Kbs per second, ila nikiingia whatsapp tu inashuka hadi 0 na nashindwa kutuma wala kupokea chochote. Naomba msaada kwa mwenye suluhu ya hili. Natumia TECNO W3.
Ahsanteni sana
 
Nend app manager au Hi manager kaluhusu aces ya net
 
Habari zenu wakuu. Ninapata shida kwa siku ya pili sasa, whatsapp nashindwa kabisa kuingia. Internet inasoma H+ 200Kbs per second, ila nikiingia whatsapp tu inashuka hadi 0 na nashindwa kutuma wala kupokea chochote. Naomba msaada kwa mwenye suluhu ya hili. Natumia TECNO W3.
Ahsanteni sana
Ikikataa kabisa reset au format...hii ni shida ya simu nyingi za tecno hasa w3!! Na kama ikigoma wapelekee tecno...unaweza kufungu app imeandikwa carlcare kwenye sim yako utakuta namba zao humo!
 
kama alivyosema mdau hapo juu ingia hi manager halafu chagua data management then data plan set inaanza tarehe 1 april na kuisha tarehe 31 december 2017 kisha eka data za ni terabyte 999 then save

ukimaliza hapo ingia kwenye app management then click app ambazo unataka kuziruhusu ziingie internet
 
Back
Top Bottom