Jinsi gani ya kupata '' PRODUCT KEYS '' kwenye PC?

Oct 14, 2015
87
18
Msaada jinsi ya kuzipa PRODUCT KEYS kweny PC
Natumia windows 8 sabab nashindwa tumia Microsoft Word bila kuingiza hizo keys
 
sasa hujaeleweka... unakata KEYS za wind8 au unataka KEYS za microsoft word.. kuwa specific..!!!!
 
Msaada jinsi ya kuzipa PRODUCT KEYS kweny PC
Natumia windows 8 sabab nashindwa tumia Microsoft Word bila kuingiza hizo keys
Nina activator ina activate windows 8,8.1 windows 10 na Microsoft office ila sijajua tatizo lako ni nini hasa tueleweshe tukusaidie!
 
Mkuu kama nilivyosema hapo mwanzo kwamb sifaham vizur kuhusu hizo keys ila ni kwamba nikitaka kutumia M. Word inaniomba hizo keys
 
Sijakupata vizur unamaanisha inatakiwa niweke wind 8.1 au ndio af ndo ni download Hiyo KMS
no! download hiyo activator ya wind8.1 kama ilivyo hivyo hivyo... fungua ila uchague 2 ambayo ndiyo office... ukiweka 1 ni kwa ajili ya windows we weka 2.... nishafanya hivyo ndo maana nakuambia fanya!
sharti hiyo KMS haina sehemu ya install usije ukaona install ukafanya hivyo!!
 
Pow ngoj naijarib
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom