Jinsi ya ku-download video kutoka dailmotion

Rubi

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,615
328
Wana JF habari.

Naombeni msaada wa jinsi ya ku-download video kutoka dailmotion.

Natanguliza shukurani zangu.
 
Kama kwa pc tumia Idm au ucbrowser ya pc ina built-in download manager unapokea tani yako.
Kwa sïmu tumia sńaptube iko poa
 
Back
Top Bottom