Nani anajua ku hack internet ya simu kwa kutumia access point | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anajua ku hack internet ya simu kwa kutumia access point

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Aug 18, 2011.

1. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#1
Aug 18, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,458
Trophy Points: 280
Simu nying latest hasa zinazotumia operating system za android, windows mobile hazitumii ip address na pronxy katika kuset internet. Hizi simu zinatumia access point tu ambayo ni internet then unaweza surf na kudwnload. Simu zinazotumia ip address unaweza change configuration ukaweka ip address nyngine ukatumia internet bure. Je hizi ambazo hazina hiyo nan anajua jinsi ya ku hack internet yake

2. Loyal_Merchant

Loyal_Merchant JF-Expert Member

#2
Aug 18, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 589
Likes Received: 16
Trophy Points: 35
Hebu 2juze katika hzo cmu nyngne unachange vp ip adres uka2mia intanet bure..? Manake 4 my case na2mia setup za voda kwa line ya tgo lakn bado kukatwa salio kupo pale pale.

3. Steve Dii

Steve Dii JF-Expert Member

#3
Aug 18, 2011
Joined: Jun 25, 2007
Messages: 6,416
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
Mkuu, nimesoma na kurudia mara kadhaa mimeshindwa kuelewa vizuri hoja yako. Tafadhali naomba urudie ili nami nielewe. Ahsante!

4. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#4
Aug 19, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,458
Trophy Points: 280
Nacho maanisha mfano kwa simu znazotumia operating system za symbian ka n70, n72 n.k. ili uweze kudwnload na kusurf ukiwa waomba configuration zake kwa voda utaaandika wap nokia n72 utawatumia na watakutumia configuration zao ambazo zina ip address, proxy na mambo mengne.

Halafu kama ukitaka kutumia browser kama opera min au application nyngne yenye ku access internet utaomba configuration klwa kutuma neno internet nokia n72 na utatumiwa access point yenye jina la vodacom internet lakin uki iedit acess point za miatandao ya cm tz APN yake imejazwa neno internet so unaweza tumia access poin moja kwa mitandao yote kwa kuwa la muhmu ni hyo apn ambayo ina neno internet.

Sasa kwa simu za symbian unaweza change ip address ukasurf bure lakini usitumie browser za kudwnload kama opera min kwakuwa zenyewe hazitumii wap configuration ambayo ina ip address bali zinatumia access point so inabidi utumia browser iliyotengenezewa kwenye simu hiyo ndiyo inatumia wap configuration.

Hata ukitumia opera lakini wakati ukitaka dwnload kitu itakurudisha kwenye browser ya kawaida ya cm.
Sasa simu latest kama za android na windows mobile hazitumii configuration ya wap, internet yake inategemea access point hakuna ip address wala nn jambo ambalo ni vigumu ku hack internet yake.

Mfano mm nina samsung omnia windows mobile na tmobile g2 ya android, zote zinatumia access point

5. Steve Dii

Steve Dii JF-Expert Member

#5
Aug 19, 2011
Joined: Jun 25, 2007
Messages: 6,416
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
Sawa, nimekupata. Hata hivyo nadhani neno access point ndilo linalokuchanganya hapa. Nielewavyo na jinsi ulivyoashiria hapo awali, access point is simply a description of preconfigured network settings ambazo unaweza kupokea over the air (OTA) automatically au kwa ku-download mwenyewe. Na ndani ya hiyo setting kunakuwepo IP address, MAC address na credentials zingine zinakuwa bound together. Hivyo within an access point there is an IP address ambayo inaweza kuwa shared au ni personal ili kukuwezesha ku-connect kwenye internet.

6. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#6
Aug 19, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,458
Trophy Points: 280
Lakini mkuu mm mara zote na simu zote nazotumia access point uwa siombi uwa natengeneza mwenyewe kwa kuweka neno internet kwenye APN na yaliyobaki nayaacha bila kujaza mfano password, user name na mengne na sijawai kuona katika kuedit accespoint sehem yenye ip address.

7. Steve Dii

Steve Dii JF-Expert Member

#7
Aug 19, 2011
Joined: Jun 25, 2007
Messages: 6,416
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
If you are keen on bypassing the network configuration provided by your service provider (preloaded) on an Android device, then you would be in good hands of achieving that by first gaining access to the root of your device, (rooting). Ukisha root, unaweza ku-install proxy na bypass tools nyinginezo zinazoweza kufanikisha mengi kwenye Android.

Nenda kwenye Android market kisha dowload phone explorer au nyingineyo yenye rating nzuri. Ni free. As long as simu yako itakubali ku-run hiyo application, itakuwezesha kuona setting zote za simu, na pahala pengine kuweza kuzibadilisha kwa editing. WARNING: This is a powerful program na usipokuwa mwangalifu unaweza ukaifanya simu yako iwe tofali "brick"!!!

Kwenye hilo utaona vitu kama - SSID, BSSID, MAC address, IP address, speed, RSSI, CID na mazagazaga mengine kibao tu.

oops, I forgot to mention, Phone Explorer on the Android market is by Dave Trudy.
Good luck!!

8. Steve Dii

Steve Dii JF-Expert Member

#8
Aug 19, 2011
Joined: Jun 25, 2007
Messages: 6,416
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
9. Kang

Kang JF-Expert Member

#9
Aug 19, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,122
Likes Received: 617
Trophy Points: 280
Hakuna tofauti kati ya vitu unavyoongelea hiyo "Access Point" ndo inabeba "I.P address" ndani yake, njia zote mbili ni sawa technically, kujaza I.P hakurahisishi kuhack. Ukiingia Android sehemu ya Access Point Names unaweza ukatengeneza yako na ukajaza mazagazaga yote, ila haitakusaidia kupata net ya bure.

Authentication inafanyika kwa kutumia data za SIM card sio I.P uliyojaza, so kutokana SIM card yako provider anaamua kama unaruhusiwa kupata access au hapana.
Kama kuna mtandao unaoweza kutumia bure kwa kujaza I.P tu basi ni makosa ya kiufundi kwa upande wa operator haitegemei simu na jinsi unavyojaza info.

10. SHAROBALO

SHAROBALO JF-Expert Member

#10
Aug 19, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 780
Likes Received: 101
Trophy Points: 60
Mkuu nadhani line zote zinakuwa pre configured kwamba ukijasa IP au ukiandika access point tu inaconnect moja kwa moja sababu ukiandika neno lolote tu inaconnect mfano internet,znet,net hata jina lako au andika SHAROBARO kitu kinacconect. so ni pre configured ukiona pale pembeni kuna alama ya 3G au E au G jua ipo tayari.

Kuhusu kuhack IP adress is possible bt i cant tell u the detail. ukifatilia post zangu utagundua kuwa kuna watu wanatumia internet bure humu ndani thanks to ME kunawatu waliponda sbabu nilikuwa naziuza anyway ni CLOSED issue!!! Fahamu kuwa ni ILLEGAL(kinyume cha sheria) kuna mkuu akaomba tudelete ile post kwa usalama binafsi thanks to him..ila hadi leo watu wanatumia bure na HAZIPO TENA. So niujanja fulani hadi uujue na haupo sikuzote ukigundua Loophole wao wa mtandao wanafunga fasta. Halafu JF sio sehemu ya kupeana tricks hizo sababu ni sehemu ya uwazi na wenye makampuni ya simu wapo humu wanasoma Thread kama Hizi.

Kama kweli upo interested na kuhack Internet ya simu...Tafuta software ya ku PING alafu tafuta IP ya mtandao unao taka kuping...jaribu ku ping na utapata IP nying ambazo zingine zinatumika na zingine hazitumiki...ila sio rahisi kihivyo u never know unaweza ukawa LUCKY!!

Au tumia google kutafuta unachotaka...fahamu kuwa kipo na kunawatu wanafanya unavyofikiria wewe.Goodlucky.

Cheers Mkuu!!!

11. Rich Dad

Rich Dad JF-Expert Member

#11
Aug 19, 2011
Joined: Dec 15, 2010
Messages: 741
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Waibieni tu maana hata kodi hawalipi, wanatengeneza super normal afu hata wafanyakazi wenyewe wanalipwa peanuts!

12. L

Lepapalongo Member

#12
Aug 20, 2011
Joined: Jan 28, 2009
Messages: 91
Likes Received: 3
Trophy Points: 15
hawa jamaaa wamezidi mfano voda kutransfer salio ilikuwa bure lakini sasa la hasha eti gharama ya ......... Ni ....... Inakera.Mmekula vya kutosha! Ukipata maujanja just pekua kama 100gb chini tulia kimuya kimuya.Jamaa walizembea kuna one week nilishusha 9gb wakanishtukia mpaka leo sipati neti aaah sad!!!

13. L

Lepapalongo Member

#13
Aug 20, 2011
Joined: Jan 28, 2009
Messages: 91
Likes Received: 3
Trophy Points: 15
hawa jamaaa wamezidi mfano voda kutransfer salio ilikuwa bure lakini sasa la hasha eti gharama ya ......... Ni ....... Inakera.Mmekula vya kutosha! Ukipata maujanja just pekua kama 100gb chini tulia kimuya kimuya.Jamaa walizembea kuna one week nilishusha 9gb wakanishtukia mpaka leo sipati neti aaah sad!!!

14. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#14
Aug 20, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,458
Trophy Points: 280
Daaah man. Sasa mimi toka jana nashangaa natumia net ya airtel bure nsha dwnload ka 1gb lakini nashangaa sikatwi ela na package yangu iko 378 mbs toka juzi na haipungui sa sijui nimepewa offer

15. Dio

Dio JF-Expert Member

#15
Aug 20, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 1,278
Likes Received: 4
Trophy Points: 135
Hata mımı nına lıne ya aırtel nıkıtumıa net natumıa for free,bt nıdısconet nıkıunga tena ınakataa,mpaka nısubırı tena mpaka saa 6 usıku.

16. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#16
Aug 20, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,458
Trophy Points: 280
Lakini mm iko kwenye simu nadwnload movies kwa bit torrentz ya simu kisha natoa memo card nazihamishia kwenye laptop yani iwe mchana hata usiku hawanikati sa sijui ni offer. Mfano leo nime dwnload microsoft office 2010, flstudio 9 na 8 lakini bure tena during the day

17. Dio

Dio JF-Expert Member

#17
Aug 20, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 1,278
Likes Received: 4
Trophy Points: 135

tupeane maujanja jamani

18. Dio

Dio JF-Expert Member

#18
Aug 20, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 1,278
Likes Received: 4
Trophy Points: 135

umebadılısha ıp nını

19. elmagnifico

elmagnifico JF-Expert Member

#19
Aug 20, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 7,913
Likes Received: 7,458
Trophy Points: 280

Hata cja fanya lolote yan hata mm nashangaa sjui offer

20. l

lulenganija603 Senior Member

#20
Aug 21, 2011
Joined: Jun 23, 2011
Messages: 100
Likes Received: 12
Trophy Points: 35
Jamani tusaidiane, hawa watu wanatunyonya sana! Hebu elezea japo kwa ufupi kwani hiyo ip adress na proxy naiona ila cjui niandike namba zipi ili niweze kuhack hiyo internet! MSAADA TAFADHALI! @sharobaro @elmagnifico! my no is 0757554566

Loading...