R.I.P CPU FAN.Wakuu habar za mida, nimewasha pc yangu DELL LATITUDE E6410 imeniletea ujumbe huo(kwenye picha) , nimejaribu kurun onboard diagnostic lakini sijapata majibu tatizo lipo wapi.
Haitoleta madhara yyte mkuu?NENDA KWA WANAOJAZA UPEPO KWA MATARI YA GARI, WAPIGE UPEPO HAPO KWENYE MATUNDU KARIBU NA FAN. MARA NYINGI VUMBI NA TAKATAKA NDOGONDOGO ZINASABABISHA FAN KUGOMA KUZUNGUKA. BROWER HAINA UPEPO MKALI WA HUWEZA KUSAFISHA.
HAPANA, NIMEWAHI KUFANYA HIVYO MARA KADHAAHaitoleta madhara yyte mkuu?
Ukiplay movie inatoa maelezo gn?Wakuu na PC haina yaha dell Ram yake n 2gb processor n yakawad tu nili wek WNDOW 8.1 then nikaa weka n driverpack solution but tatizo linakuj Niki play movie inakuwaa inastaki wakuu naomben msahada wenu
Nafikiri ni Driver za Graphics ndio shidaWakuu na PC haina yaha dell Ram yake n 2gb processor n yakawad tu nili wek WNDOW 8.1 then nikaa weka n driverpack solution but tatizo linakuj Niki play movie inakuwaa inastaki wakuu naomben msahada wenu
Bosi hiyo pc ni Dell lat E6410 core i7? Kama ndio fan ipo naweza kuja kukubadilishia.nipo Dsm 0718 290779Wakuu habar za mida, nimewasha pc yangu DELL LATITUDE E6410 imeniletea ujumbe huo(kwenye picha) , nimejaribu kurun onboard diagnostic lakini sijapata majibu tatizo lipo wapi.
Mkuu n uwez waku fx hilotatz nipo arusha my adress0659510051Bosi hiyo pc ni Dell lat E6410 core i7? Kama ndio fan ipo naweza kuja kukubadilishia.nipo Dsm 0718 290779