DOUBT: IPHONE 7 PHOTO ON GSMARENA

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,096
2,286
Nimeshangaa nilipitia gallery ya iPHONE 7 pale GSM ARENA na kukuta hiyo picha yenye 3.5mm audio Jack. sasa swali ni kwamba hii imamaanisha GSMArena hawatumii official images kutoka Apple au huwa wanatumia external source ndio maana wanasemaga Information zao sio accurate 100%.
Au kuna iPhone 7 yenye hiyo 3.5mm port?

upload_2017-4-18_11-10-0.png
 
mkuu huoni hizo picha ni comparison ya version ya zamani na mpya?

hio ya chini nyeusi ni 7 na hio ya juu ya silver pengine ni 6s
 
Back
Top Bottom