buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,007
- 7,118
Hi
Je wajua kuwa atomic bomb ni bomb lililotengenezwa kutokana na mzozo wa kanuni za fizikia uliotekea miaka ya 1930
Mwanasayansi Albert Einstein akiwa katika hali ya masihara alivumbua kanuni ya nguvu(energy)
Wanasayansi weng kwa wakati huo waliweza kumpnga kichini chini kwa kuona ni kitu kisichowezekana
Ilopotokea fursa wakat wa ww2 Einstein alimwandkia barua Rais wa wakat huo wa marekani juu ya utumiaj zana mpya ya kivita kutokana na tensions kutoka kwa mjeruman coz nae alikua kwenye mpango mkakati wa kujenga kinu
Baada ya Bomu hilo kuleta madhara Albert Einstein aliweza kujutia nafsi yake kwa kuandika (nimetengeneza tena tatizo lingine LA dunia) huku pia yule mwanasayansi aliekua akiendesha ile project aliweza kujuta na kuamua kujiunga na kuongoza taasisi ambazo zilikua zkishughulka na uzuiaji wa matumizi ya silaha za nyuklia