Kuhifadhi video za YouTube offline

Bhudagala

JF-Expert Member
Sep 17, 2014
322
308
Wadau habari zenu!
Naomba mnisaidie hapa, nikihifadhi (save) video za YouTube offline huwa zinachukua nafasi ya kwenye memory card au internal storage? Au zinakaa hewani kama ilivyo kwenye programu za DROPBOX.

Msaada!
 
Back
Top Bottom