GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,089
- 2,198
nimefuta kila kitu. labda nitoe baadhi ya programsha!!!! ha!!! ha!!!! ha!!!
nani kakuambia kufuta files za windows ndo itakaa sawa... sikia fanya haya.!!
1. nenda kwenye recyclebin futa kila kitu...
2. nenda kwenye downloads futa kila kitu..!!!
3. Nenda kwenye document, library pia futa...!
4. isipokubali hapo... uninstall programs ambazo huzitumii...
am done!