Ibang
Senior Member
- Dec 15, 2011
- 121
- 23
Wakongwe tumekuwa tukiona watu wengi wakianzisha app zao na kuziuza.. Kuendana na mabadiliko ya teknolojia..
Ndio maana Kelvin wa instagram alianzisha instagram na ndani ya mwaka mmoja aliiuza 1 billion usd kwa facebook..
Wote mnajua watsapp imeuzwa kwa sh ngapi...
Mifano iko mingi mingi mingi...
Swali la kujiuliza ni kuwa sisi Tanzania tumeshindwa nini..? Je tatizo ni Creativitness ndio hatuna au funding ndio imekuwa tabu..?
Sidhani ..
Ni kuwa sie Tanzania tunaweza kufanya maajabu Katika tasnia ya teknolojia kwa kuja na mradi ambao utashangaza dunia
How..? Huwezi kupata na kufanikiwa Katika teknolojia kwa kuja na proposal ya kuwa na application au website au sijui software na ukafanikiwa.. Why ni kuwa kila Mtu anafanya Hicho kitu
So ni bora mtu uwe na idea ya kuweza kuteka dunia Ambayo ni idea Ambayo haijawahi kutokea
Lengo la kuunda thread hii ni kujaribu kubrainstorm vijana wa kitanzania kuja na prototype Ambayo mwisho wa siku inaweza kuuzwa zaidi ya 5 billion usd kwa makampuni makubwa kwa maana Ya facebook, ABC, Microsoft etc
How..?
Miezi mitatu ya kwanza ni kufanya research may ~ July ni research
July ~September brainstorm
September ~ October idea finalized
October ~December proposal writing
January 2018 ~June creating a prototype of the project
June ~ October finalising prototype , business plan and business proposal
November ~ December preparing to launch
January 2019 launching worldwide
January 2019~ December 2019 promoting the project, and preparing selling it kwa makampuni makubwa
Wakongwe nimeweka Mjadala mezani tuujadili ili tuweze kuja na something good kwa ajili ya kuweza kuwa mabilionaire wa kesho
#kablayakombeladunialaqatar2022unawezakuwabilionaire#