Napataje Dekoda za canal sports.

Napataje Dekoda za canal sports.

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Kwanza niwashukuru sana wadau wa JF naweza sema sehemu kubwa ya taaluma yangu nimegain kutoka JF,naweka mezani tena hili nawezaje pata decoder za canal sports na nawezaje kuwa nazilipia?
 
kuna jamaa wapo mwz huwa wanaziuza mkuu na kuhusu malipo wanahusika wao
 
Back
Top Bottom