How do i convert MP4 to AVI?

Seawhale

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,316
1,422
Wakuu;
Ningependa kuelekezwa namna ya kuzigeuza videos kutoka MP4 kwenda AVI. Napenda kuplay video kwny DVD player bt kuna baadhi huwa zinagoma, so help me pliz.
 
Tumia total video convertor ziwe mpg kwani avi huwa s0metime zina miss picha inat0ka sauti
 
avi ni container tu sometime pia zinaweza zisicheze, convert kwenda mpeg ndio uhakika.

tumia freemake video converter, japo siku hizi wanaweka watermark ila kwa video za nyumbani tu haina shida, google freemake video converter offline installer
 
Asante mkuu, ngoja nijaribu
 
avi ni container tu sometime pia zinaweza zisicheze, convert kwenda mpeg ndio uhakika.

tumia freemake video converter, japo siku hizi wanaweka watermark ila kwa video za nyumbani tu haina shida, google freemake video converter offline installer
Mkuu hii app ipo vyema sana bt mbn video file inakuwa na size kubwa kiac hiki i.e 8.5 GB, weee hapa hakuna solution maana flash ynyw n 4 GB tu.
 
ingia HAPA kwa kutumia simu then install apk..hii inaweza kudownload video almost from all sites na ndani yake ipo embeded converter inayoconvert files za aina zote. Kama unatumia pc tafuta ambayo ipo cracked hapa HAPA
Good luck
 
cheza na settings mkuu, pengine ni movie ya hd na wala deki yako haiplay HD punguza resolution hadi 480 au 540 punguza bits za video na audio mfano kama ni 256KBPS eka 128KBPS etc.

pia jaribu na avi pengine ikawa vyema kwako.
 
ingia HAPA kwa kutumia simu then install apk..hii inaweza kudownload video almost from all sites na ndani yake ipo embeded converter inayoconvert files za aina zote. Kama unatumia pc tafuta ambayo ipo cracked hapa HAPA
Good luck
Ntaipitia mkuu
 
Hadi leo hii bado sijaona app ya simu ambayo uta convert video then ikubali ku play kwenye deki.
 
app zipo tatizo ni kwamba unaweza chukua hata saa zima kuconvert hio video, sababu soc za simu hazina nguvu na zenye nguvu haziwezi kumaintain hio nguvu yake kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom