Msaada: Laptop Lenovo Imezima ghafla chaji inaingia lakini haiwaki

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Wakuu na wataalamu wa Teknohama msaada tafadhari.

Laptop {Lenovo} lenovo Ilizima ghafla. Chaji inaingia lakini ukiwasha hakuna chochote kinachoendelea. Cha ajabu kuna wakati mara mojamoja sana unaweza kuiwasha ikawaka lkn muda mwingi ukiiwasha haiwaki kabisa.

Tatizo linaweza kuwa nini?
Natanguliza shukrani...
 
Back
Top Bottom