Sifa za kuzingatia kama unanunua Laptop kwa ajili ya games

Kikubwa ni processor angalau iwe kuanzia core i5 3rd generation gpu ukipata walau yanye nvidia gtx 750ti 2gb, ram hata 8gb

Chief-Mkwawa

Ila kuna uzi umu ulishaga elezea jalibu kutafuta.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nataka kujua ni sifa gani nitazingatia,ninapotaka kununua LAPTOP kwa ajili ya GAMES

Nataka nijue sifa (Specification) ya laptop kwa ajili ya games.

Natarajia kununua wiki ijayo

AHSANTENI
18-Digital-Storm-ODE-Specs.jpg
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nataka kujua ni sifa gani nitazingatia,ninapotaka kununua LAPTOP kwa ajili ya GAMES

Nataka nijue sifa (Specification) ya laptop kwa ajili ya games.

Natarajia kununua wiki ijayo

AHSANTENI
Nina laptop yenye sifa zifuatazo....
Watakuakbia kama inafaa
Core i7
8GB ram
AMD radeon 3GB dedicated
Mpaka sasa games ambazo nimejafibu kucheza ni
NBA 2k12
GTA V
Pes 2017
Fifa 2017
NFSMW 2012
kwa mawasiliano zaidi 0786371108
Laptop ni HP pavelion g102ax
 
mkuu kitu muhimu sana ni cpu, inatakiwa cpu angalau iwe na thread nne na single core perfomance iwe kubwa, games nyingi zinapenda core moja yenye nguvu, ukiwa hata na core 20 kama core yake moja haina nguvu utakwama kwenye games.

kwa sasa cpu nzuri ni core i3/i5/i7 angalau 4th generation kama hio laptop haina gpu za nvidia au ATi/Amd na angalau 2nd gen kama hio laptop ina gpu ya nvidia/amd
 
Chief, hii PC sitahitaji NVDIA/AMD kwa games kubwa hizi za sasa hivi?
IMG-20170213-WA0020[1].jpg
 
Back
Top Bottom