Kwa nini pc haiwaki taa ya Wi-Fi mtaalam nisaidie

kamilisha driver kwanza ndo uwashe... hapo utakuwa unacheza makida makida tu!
 
Hiyo itakua haina Wi-Fi driver mi yangu ni accer ilikua haina Wi-Fi driver nika download saiv Ina function km kawa
 
Back
Top Bottom