wakwetu_tz
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 122
- 170
Hi,
Nashindwa kuactivate window 10 enterprise kwenye pc.Kila nikijaribu kuactivate inanipa jibu kuwa window can`t activate right now.Try activating againg later.If that doesn`t work, contact suport.
Na Error details inazonipa ni :Error code: 0x8007007B
Tafadhali naomba msaada ndugu zangu.