Wataalam wa Website design and SEO.....

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
14,664
26,395
Habari zenu ndugu zangu,

Ninaitaji msaada wenu - (Atakeyenishawishi anaelewa naweza kumlipa) - kwenye suala la kubadilisha domain name. Kwa kusema haya ninamaanisha: kubadili: maneno.com to matatizo.com, na kuacha contents zote ziwe hivyo hivyo, ila tu ku edit text na logo zifanane na new domain: matatizo.com

Swali? Kama maneno.com ilikuwa inafanya vyema kwenye SEO, na sasa ninaiondoa kabisa na contents zake kuzitumia kwenye matatizo.com, Je, itaharibu ranking yake na perfomance yake kwenye searching?

2 - Je kuna watu {reliable} wanaofanya SEO in Tanzania? nimekuwa nawalipa wahindi fulani India ila naona kidogo wanazingua, ningepata mtu wa kubanana naye hapa hapa bongo ningeshukuru.

Ni hayo tu, but NOTE: Mimi sina ujuzi na hivi vitu, ila I am a very logical person, si rahisi unishawishi bila vitu vya ukweli na vya msingi, kwa hiyo kame haupo vyema kwenye haya ninaomba uwe mkweli tu ndugu yangu.
 
mimi nafanya seo, mkuu hapo ni lazima uyumbe kama sio kupotea kabisa katika search results ukipata mtu asiyejua,vilevile haujatoa muda ambao umeisajili domain yako na wapi umehost tovuti yako
 
Back
Top Bottom