Keyzer Soze
Member
- Dec 30, 2016
- 27
- 22
Natumia samsung note 4,tangu nianze kuitumia inakubali kuongeza salio lakini napofikia kutaka kujiunga na kifurushi au kuulizia salio la kifurushi hai'support', kuna bwana nilijaribu kumwomba msaada akanambia kuna namba nikiingiza zitakubali lakini kazisahau, so naomba mwenye ujuzi zaidi kwenye hili au ambae anazijua hizo namba anisaidie