Background play on Samsung J1 - 100H

Ben Moha

Member
Apr 27, 2017
51
32
Habari wanajamvi.

Nina tatizo moja na Simu tajwa hapo juu. Nikijaribu kuplay music at backgroud inaplay muda mfupi then inastop. Nimejaribu kuinstall music player Apps mbalimbali lakini bado inasumbua.

Ninaomba msaada wenu.

Asante
 
inawezekana unaplay moja kwa moja kutoka kwenye directory ya simu au sd card...ukitaka kuplay in background ni lazima hizo nyimbo uziplay moja kwa moja kutoka kwenye hizo music players
 
inawezekana unaplay moja kwa moja kutoka kwenye directory ya simu au sd card...ukitaka kuplay in background ni lazima hizo nyimbo uziplay moja kwa moja kutoka kwenye hizo music players
Nina play kutoka kwenye App yenyewe
 
Back
Top Bottom