Simu yangu imefanya crack kwenye kioo

Mass63

Member
Dec 31, 2016
33
37
Simu yangu ni Tecno Phantom6 Niliinunua October mwaka, ila kwa bahati mbaya leo nimeigonga kioo kwa funguo iliyokuwepo kwenye mfuko wa suruali na imefanya crack kwenye kioo.

Naombeni ushauri nifanyeje kwa wenye uzoefu kama inatengezeka.
 
Back
Top Bottom