Je unataka kujifunza computer programming hujui uanzie wapi?

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,339
2,431
Habari wana jamvi?

Kama ilivyo ada, leo tumewaandalia video itayo kupa mwanga wewe unayehitajikuanza kujifunza computer programming lakini hujui uanzie wapi!!

Katika video hii, tumeweka lugha mbali mbali ambazo wewe kama msomaji ambaye unaanza kujifunza unaweza chagua kulingana na nini unataka kufanikisha!!!

Okey, twende moja kwa moja kwenye channel yetu ambapo utajifunza ni namna gani utaweza kujifunza computer programming kwa wanaonza na walio kwenye industry tayari!

Channel link: AfriCom Developers

Usisahau ku SUBSCRIBE kwenye channel ili video mpya ikitoka upate taarifa mapema

Karibu tujifunze kwa pamoja!!

AfriCom Developers
 
Nimesikiliza mpaka nusu ya video ila nime notice vitu viwili muhimu

1. Sauti ya Presenter haiskiki
Recommendation(s): ni vema kuwa na devices ambazo zitakusaidia kufanya audience yako ikupate vizuri

2. Umetengeneza Video ndefu sana kwa japo ambalo ungeweza kulifupisha kwa dakika kadhaa
Recommendation(s): Tengeneza Video za mda mfupi at most 10 minutes labda kama unaelezea concept ambayo ni ngumu ku graps,Unaweza kuona huu ushauri hauna maana lakini lazima ukumbuke unawa watarget waTanzania ambako Data is too expensive na mtu ku stream video zako mbili tayari MB zake kibao zitapotea.
Lakini video fupi zinashawishi mtu kusikiliza
 
Shukrani sana mkuu! Nitaufanyia kazi ushauri wako mapema iwezekanavyo!! Karibu sana!
 
Back
Top Bottom