hansluvanga
Member
- Apr 18, 2014
- 96
- 25
Wana jf et ni karatasi aina gan inatumika kutengeneza vipeperushi na majarida na pia ni program IPI inatumika Ku design
Wana jf et ni karatasi aina gan inatumika kutengeneza vipeperushi na majarida na pia ni program IPI inatumika Ku design
Da shukran mdau nipe namba yako nikuchek Yangu n 0758217840Photo paper zinatumika (naposema photo simaanishi karatasi za kuPrint zile za camera, bali ni karatasi zenye uwezo wa kuPrint picha kwa Resolution inayohitajika, Flyers zinakuwa na picha ndani yake kwa hiyo Resolution nzuri ni muhimu. Kwa mfano wanaotumia Printer za Epson Inkjet zinatumia Epson Mate ambazo ni Glossy Photo Papers bila kujali zina gramate ngapi, zipo Photo paper nyepesi kabisa ambazo ni double sided na single sided.
Na kuna Karatasi za picha ambazo ni ngumu (kama za KodaK) hizo ni maalum kwaajili ya picha za camera na hata kwa business card zinafaa ingawa huwa zinanata ukishika, na pia ugumu wake sio wa kuridhisha kwa business cards na sio waterproof.
Hii ni Photo paper Gloss ngumu zimetengenezewa business cards. Hizi ni zile zinazofaa hata kusafishia picha za kawaida.
View attachment 501353
Angalia hii ni Mate Glossy Photo Paper nyepesi kabisa za A4 zimekunjwa mara 3. Hizi zinafaa hata kusafishia picha za kawaida isipokuwa itahitaji fremu au utabandika mahali.
View attachment 501347
View attachment 501359
Da shukran mdau nipe namba yako nikuchek Yangu n 0758217840