Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,132
Hiv karibuni kulikua na wimbi la samsung original kufungiwa na TCRA
Simu nzima inasoma line ila haipandishi mtandao. Au inapandisha mtandao ila haipigi, haipokei wala data hupati.
Ukituma imei TCRA unaambiwa simu yako imefunguwa.
Ukweli: Simu hizo sio fake wala sio kwamba zipo chini ya viwango hata kidogo.
Source ya tatizo: Kwa 100% hizo ni simu refubrished, used. Kwa mfano simu ya wizi, au yoyote isiyo halali inafanyiwa refubrish ikija huku bongo inaonyesha kuwa ni mpya na inauzwa dukan kwa bei mpya na kila kitu unapewa
Tatizo la kutoshika mtandao ni kwamba hizo simu zipo Blacklisted (imei/serial number blacklisted) hivyo dunian kote huwezi kutumia.
Wahuni wa nchi za wenzetu kuna kitu wanafanya (kasome kuhusu samsung certs.) hili kuzi unblok kwenye hicho kifungo
(hii haiusian na kubadili imei)
(sifanyi huduma hii japo naiweza 10000%)
Nakaribisha maswali na maoni
(for education purpose only)
PHillz unlock service