Software(application) ipi nzuri katika graphs drawing

apologize

JF-Expert Member
Jul 22, 2015
709
568
Habari wakuu,
nilikuwa naomba kujua software ware ipi ambayo ni FREE kupakua katika mtandao ambayo itanisaidia kuchora graphs,hasa za takwimu ambazo sio ngumu ( not complicated mathematics)
 
Back
Top Bottom