FACEBOOK

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,006
306
2b9e6cfa2daf65c22e7a9bbf354c0bf9.jpg
nimefungiwa fb jana baada ya kuposti picha ya uchi kila nikiingia inagoma pia hyo akaunti ya fb ndio niliyokuwa natumia kuingilia instagram, nilichokuwa naomba nisaidieni hii akaunti ya insta ili nayo isipotee nafanyia biashara maana itahitaji niingie kwa fb kama nilivyokuwa naingia kabla sijafungiwa akaunti ya fb nataka instagram nayo ijitegemee
 
unalo tafuta kwa sasa kupelekwa mahakani.kwa sababu hupo africa kwa jpm.umesoma term and condition.
jifunze kuwa mstaarabu kwenye mitandao ya kijamii bora umeponea.fungua mpya
 
  • Thanks
Reactions: SIM
2b9e6cfa2daf65c22e7a9bbf354c0bf9.jpg
nimefungiwa fb jana baada ya kuposti picha ya uchi kila nikiingia inagoma pia hyo akaunti ya fb ndio niliyokuwa natumia kuingilia instagram, nilichokuwa naomba nisaidieni hii akaunti ya insta ili nayo isipotee nafanyia biashara maana itahitaji niingie kwa fb kama nilivyokuwa naingia kabla sijafungiwa akaunti ya fb nataka instagram nayo ijitegemee
Unataka tukusaidie ili uendelee kuposti picha za uchi? hivi vitoto vya miaka ya 90 ni majanga kwakweli.
 
2b9e6cfa2daf65c22e7a9bbf354c0bf9.jpg
nimefungiwa fb jana baada ya kuposti picha ya uchi kila nikiingia inagoma pia hyo akaunti ya fb ndio niliyokuwa natumia kuingilia instagram, nilichokuwa naomba nisaidieni hii akaunti ya insta ili nayo isipotee nafanyia biashara maana itahitaji niingie kwa fb kama nilivyokuwa naingia kabla sijafungiwa akaunti ya fb nataka instagram nayo ijitegemee
je ukiingiza username na password anakupa ujumbe gani... nijuze nina ujuzi wa kuzifungua..
 
Aroo unaitwa nani rafki yangu na unakaa wapi! Nataka tuonane nikupe physical assistance
 
Inasikitisha sana...

Ni kosa la jinai kutuma utupu wa mtu mwingine au wako kwenye mitandao ya kijamii...

Wewe confirm tu identity yako upigwe pin ukachezee miaka kwanza...

Cc: mahondaw
 
Taja mahali ulipo tukusaidie ikiwezekana weka na namba yako ya simu kabisa
 
Raphael una umri gani? Na hiyo picha ya uchi umepost ili iweje?

Kwa kukusaidia labda ripoti kituo kikuu cha kati ukaeleze ulichofanya ukae lock-up mpaka mei mosi ipite ndio ujue ni ujinga umefanya.

Kwanza hizo account hata zikipotea ni bora kwakuwa hizo biashara inaonekana ni haramu.

Acha ujinga
 
Ahhh...Mkuu
 
Ulipost picha ya uchi ili upate likes? Na inaonekana unaitamani a/c yako ya instagram kwa kuwa una followers wengi uliowapata kwa kupost picha za uchi na hata si kwa biashara kama ulivyosema.
#tumia_akili_kijana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom