Huawei Y336 kushindwa ku upload pics na vids JamiiForums

shiite

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
313
298
Naimani mu wazima wana JF.

Natumia Huawei Y336, nashindwa ku upload picha na video zilizopo kwenye memory card JamiiForums. Lakini social network zingine kama fb, whatssup, n.k inakubali.

Wataalamu mnisaidie, je ni tatizo la simu, au sizijui settings za kufanya? Au nini hasa?

Ahasanteni
 
Nataman kukwambia weka screenshot tuone.

Wajuzi watakuja kukuelewesha zaidi
 
Utakuwa unatumia Freebasics ya Tigo(Jamiiforums bure) hapa hilo tatizo lazima ulikute hata kuanzisha threads ni tatizo.
 
Back
Top Bottom