Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari zenu wakuu natumai wote ni wazima kabisa naombeni kujua
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Jana nimenunua Bundle la Buku 1 GB Line ya chuo haikuchuka Hata lisaa bundle likakata Nilikuwa nimeunga na PC internet Hotspot nkahisi labda window ina update automatic, Leo asubuhi nimeweka tena...
7 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari zenu wadau, Nipo Ushirombo Geita , Juzi nilinunua receiver ya medicom 930 plus mpeg 2 , Lnb ya azam ya ku pamoja na dish la futi 6 la prime focus ninahitaji kupata f.t.a channel zozote je...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Wakuu,,, Ni bloatware zipi ambazo ni safe kuziremove kwa simu yangu aina ya LENOVO VIBE K4,,,LOLPOP 5.1,,,Maana nimeroot now ndo nataka nitoe izo bloatware Msaada tafadhali,,,
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Naombeni msaada ndugu. Zangu Nahitaji application so nauliza nahitaji vitu gani au wajuzi mniambie sh ngap gharama na watengenezaji nawaomba kama wapo inbox
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Salaam Kamili. Ningeomba kupewa Msaada hasa wakiushauri juu ya Majokofu hasa katika Ubora(uimara)... BAJETI:<Tsh.1,000,000
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Samahani naombeni kujua kama kuna mtu alishawahi kununua application yeyote ile play store; alinunuaje maana kuna application flani ya music nataka kuinunua ni ya Sony ila mimi nilifanikiwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
wadau habari za mchana. naombeni mnisaidie. nipo na wadau hapa twabishana kuhusu browser nzuri. nimeamua niwafowadie wadau muweze kutusaidia. ipi ni browser nzur na current katika matumizi kati ya...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wataalamu msaada wenu mimi tar 3 mwezi huu niliibiwa tablet nimebahatika kupata IMEI moja tu kati ya Mbili Je hiyo inaweza ikanisaidia kuipata pasipo nyingine ya pili? Nilienda kuripoti police...
0 Reactions
3 Replies
718 Views
Habar zenu wana jf, mm ni mshamba naweza sema hvyo, ninakicmu changu tecno w4 nataka weka font ila kila nikijarbu inagoma inasema inataka root so cjui inakuwaje wanajf naomb msaada jaman
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Habari ndugu,simu yangu ilidondoka na kupasuka touch screen mpaka display ya ndani,hivyo natafuta spea na kufahamu gharama zake.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf simu yangu j7 prime leo imeanza na tatizo inajizima na kujiwasha na tatizo lingine nashindwa kuangalia baadhi ya vitu kuna apps inaingilia. Naomba msaada wenu wakuu kipi...
0 Reactions
2 Replies
581 Views
Mr. Rama Esteem from Dar es Salaam, who was just a guest guest at the LG 2017 System Air Conditioning Tech Seminar and the Launch of the new eco-friendly & energy efficient air conditioning...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naombeni kujua ni smartphone gani nzuri naweza kupata kwa shilling laki tatu(300,000) iwe Techno, Huawei,au Samsung mpya lakini
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Samsung ni moja ya makampuni makubwa duniani kwenye uwanja wa teknolojia. Kutengeneza simu zinazotumia Android OS naona kama ni embarasment kwa kampuni kubwa hivi. Sidhani kama watashindwa...
8 Reactions
181 Replies
14K Views
samsung s8 yazinduliwa kwa nchi za africa nchini kenya kwa walio kwisha weka oda mjiandae mkao wa kula
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua jinsi ya kuweka automatik call instagram page yaan mtu akikupigia automatik anapiga namba yako....hope mmenipata
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau habari za mchana. naombeni mnisaidie. nipo na wadau hapa twabishana kuhusu browser nzuri katika window OS. nimeamua niwafowadie wadau muweze kutusaidia. ipi ni browser nzur na current katika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nauza iphone 4s nyeupe yenye icloud,bei tsh 60,000/= Nipo Dar. Mawasiliano 0713724242
0 Reactions
14 Replies
1K Views
habari wada u, samahani nauliza kifaa hicho pichani napata wapi hapa DSM na ni shilingi ngapi? Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…