GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,089
- 2,199
I find it friendly, napata kila kila kitu ninachokitaka kwenye browser kwa urahisi kwenye windows, japo muda mwingi nipo kwenye IOSnatumia window. kwanini chrome?
exactlymkuu inategemea na matumizi ila kwa power user nafkiri mozilla ni nzuri zaidi hasa power user wa nchi za dunia ya tatu, sababu vile vitu vya kichakachuzi kama vile extension za kudownload video, za kujificha (tor), za kufanyia tunneling, etc vinapatikana zaidi kwenye firefox.
chrome yenyewe pamoja na opera na browser nyengine za webkit naona ni nzuri kwa average user zina speed sana ila ni nzito pia kwenye ulaji ram.
edge na internet explorer zinakaa sana na charge, zina security zaidi na ni nyepesi pia edge ni touch optimized hivyo zinafaa zaidi kwenye tablet za windows, 2 in 1 na wale wanaokaa mbali na chaji. pia kwenye enterprise wanazitumia.
ahsante sana cheaf.be blessedmkuu inategemea na matumizi ila kwa power user nafkiri mozilla ni nzuri zaidi hasa power user wa nchi za dunia ya tatu, sababu vile vitu vya kichakachuzi kama vile extension za kudownload video, za kujificha (tor), za kufanyia tunneling, etc vinapatikana zaidi kwenye firefox.