Msaada juu ya Ununuzi wa Jokofu

Moshee

Member
Nov 15, 2016
23
28
Salaam Kamili.
Ningeomba kupewa Msaada hasa wakiushauri juu ya Majokofu hasa katika Ubora(uimara)...
BAJETI:<Tsh.1,000,000
 
Chukua ile yenye anti frost huwa ni nzuri sana mm ninayo. Inagandisha kama ni barafu, ama nyanya inakuwa jiwe. Ila hazishikani, na wala haitengenezi mabarafu
 
Hata mimi nategemea ushauri utakaotolewa hapa niufanyie kazi.Kujeni wakuu maana hapa ndio kisima cha kila kitu
 
Chukua ile yenye anti frost huwa ni nzuri sana mm ninayo. Inagandisha kama ni barafu, ama nyanya inakuwa jiwe. Ila hazishikani, na wala haitengenezi mabarafu
inaitwa kwa jina jingine NOFROST ni nzuri sana
ina sifa nyingi moja wapo kama uloeleza inagandisha kitu husika cha ndani haigandishii barafu pembeni wala kitu hakinasiani chenyewe kwa chenyewe au na body ya friji sio kama za zingine kutoa ICE CREAM mpaka utumie kisu kubandua
na hii ni kutokana na kutumia feni kuforce ubaridi kutoka katika EVAPORATER SYSTEAM kufikia kitu husika tofauti na za kawaida ambazo ubaridi utamalaki kwa kuupata moja kwa moja kupitia paipu za EVAPORATER
pia huwa na sensa kwa ajiri ya kuratibu kiasi cha jotoridi hivyo kuruhusu mgawanyo wa majukumu kati ya compesa &feni na heater kuringana kiasi cha jotoridi husika kwa kuratibu hali ya jotoridi uloseti ndani ya friji kwa maana baridi ikizidi kwa kiasi ulichoweka itaipa ruhusa eidha feni na compersa vifanye kazi au heater ipunguze kiasi cha baridi kwa kuchima na kutoa joto na bila kusahau timer switch ni kuruhusu muda upi izime compresa na muda upi iruhusu heater so friji wakati mwingne hujizima wenyewe na kujiwasha wenyewe
hivyo mkuu ukienda dukani tafuta friji ya namna ni nzuri sana kwa matumizi ya kisasa hasa nyumbani hata biashara ya kupoozea vinywaji kana soda juice maji nk
Salaam Kamili.
Ningeomba kupewa Msaada hasa wakiushauri juu ya Majokofu hasa katika Ubora(uimara)...
BAJETI:<Tsh.1,000,000
friji kampuni zote ni nzuri LG SAMSUNG BOSS nk ni nzuri kuna kampuni bora zaidi na ni mkataba ila hapa tanzania si rahisi kupata mpya labda mtumbani muhimu zingatia utunzaji ukishanunua na kipi kina cha ziada kwa uhitaji wa matumizi yako lkn muhimu kung'amua aina ya compresa inayotumia kuendana na kasi ya umeme wa bongo hasa maeneo yenye umeme mdogo na nunua kuanzia watts 170
na utaziona watts ndani ukifungua frij kikaratasi kimebandikwa pembeni cha specification na ukipata compresa ya input 110v to 220v ni bora ingawa adimu sana
 
Westpoint ni friji bora maana ina antfrost, ipo economic zaidi kwa maana ya ulaji umeme na ina space ya kutosha ndani.
 
Back
Top Bottom