Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
Samsung ni moja ya makampuni makubwa duniani kwenye uwanja wa teknolojia. Kutengeneza simu zinazotumia Android OS naona kama ni embarasment kwa kampuni kubwa hivi.

Sidhani kama watashindwa kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye R&D ya kutengeneza OS yao.

Faida kubwa watakayopata ni ku-customize software na hardware kama Apple na Windows Phone wakati ule. Na hata tatizo lililoikumba Note 7 lisingetokea mwaka jana.

Faida nyingine ni kuwa na loyal customers ambao itawawia vigumu kuwahama kwasababu ya uniqueness ya OS yao. Mfano kwa sasa iphone na nokia ya wakati ule wameshatengeneza loyal customers kiasi kwamba kuhama platform zao imekuwa shida sana.

Ila kutumia android kuna wapa wateja option ya kuipata android sehemu nyingine na hata ushindani na makampuni mengine yanayotengeneza simu za Android unakua mkubwa. Ila wakiwa na OS yao watawapa ugumu loyal customers kuhama brand.

Play store imejaa malware, kila mtu anaweka app yake hata kama imekaa hovyohovyo. Wakiwa na OS yao, hawatawapa mwanya developers wanaoweka uchafu kwenye store watakayoitengeneza.

Samsung anauza mamilion ya simu, sio mbaya kuanza tayari anauza simu nyingi kwa mwaka.
Tunahitaji varieties za OS sokoni, kuwa na Os chache kunakinaisha.
 
Samsung wanayo yao inaitwa tizen. Lakini wanatizama maslahi, itabd wagande na android kwanza, mana kuwapata developers kutengeza apps zao katika os yako mpya ni kazi nayo, nokia mwenyewe kabuma. Saivi ios na android ndo zishatawala soko tena, kutambulisha yako nyengine ni shughuli pevu na itacost sana. Ni upumbavu wao nafikiri kuwa wavivu wakuipa android nzao uniqueness, mana android ni open source, sifahamu kwanini hawaicustomize vya kutosha ikawa na muonekano tofauti na android nyengine, ndio maana mtumiaji wa samsung s6 ni sawa tu kwa MATUMIZI na close ya s6. Zamani kulikuwa na symbian, ambayo nokia na sonyerickson walikuwa wanatumia, lakini interface zao zote ni tofauti. Android zote zipo sawa. Ndio maana kutumia iphone regardless of less features ina customer loyals wanaopanga mstari wiki kabla ya mpya kutoka :D wazungu bana hawana subra
 
inawezekana moja ya sababu ya kupendwa kwa simu za SAMSUNG ni pamoja na kutumia os ya Android..kuna samsung zina windows os lakin hazijawavutia wengi.. ila naunga mkono hoja wangetengeneza os yao ili iwe easy kucustomize na technology yao ya Amoled
 
Sidhani kama developers watakataa apps zao zitumiwa na mamilion ya devices duniani. Kama nlivyosema mwanzoni tayari Samaung anauza almost devices 80Milion kwa mwaka. Means developers wana uhakika wa app zao kutumika huko.
Apple tayari wana eco system yao, ipo kwenye iphones, ipads, mac books. Hii ni rahisi kwa wao hata kulinda usalama wa devices za watumiaji wao. Ni kwasababu software na hardware wanatengeneza wao.
Utakuta battery ya iphone ina 1700mAh ila inafanya vizuri kuliko hata battery za Samsung zenye 3000mAh. Kwasababu hardware inakuwa customized na software kuleta optimal output.
Nokia walipotea kwenye ulimwengu wa smartphones lakini bado kuna mamilion ya loyal customers walikuwa wanawasubiri. Kuingia android kwa tech giant kama Nokia ni kosa jingine wanalolifanya.
 
Umenena vyema sana Mkuu Bavaria...

Jana nilikua naangalia uzinduzi wa galaxy S8 na S8+,kiukweli zinavutia sana kimuonekano kuliko iphones...

Lakini tatizo ni kwamba Operating System ya Android bado haiwashawishi watumiaji wa iOS kuhama iOS platform regardless simu bora na nzuri zinazozalishwa na kampuni kama Samsung, LG,HTC,Oneplus,Sony na Google zenye Android OS.

Android is cheap Tecno,Oppo na kampuni ndogondogo zote zinatumia Android platform kiasi kwamba unakua na uwanja mpana mno wa kuchagua simu.

Lakini ukitaka iOS ni Apple pekee ndio utaipata... Hivyo inakua rahisi Apple kuwa na diehard fans wengi... Dunia hii watu wengi hawataki kuwa cheap... Haiwezekani Android Marshmallow iliopo kwenye Samsung S7edge ya Trump akumbane nayo mtoto wa form one mji mwema kwenye Tecno W4 yake.

Ndio maana wengi wanapenda apple kutokana na status symbol + Privacy ya uhakika sababu ya Operating System yao.

Samsung ndie mpinzani mkuu wa Apple... Pia devices zake nyingi ni bora kuliko za Apple... Laiti kama angekua na OS yake,Apple angeiacha mbali sana kutokana na ukweli kwamba mpaka sasa Samsung amemuacha mbali Apple.
 
Napenda sana designs za Samsung phones, likija swala la OS ndo naishiwa nguvu kabisa.
 
inawezekana moja ya sababu ya kupendwa kwa simu za SAMSUNG ni pamoja na kutumia os ya Android..kuna samsung zina windows os lakin hazijawavutia wengi.. ila naunga mkono hoja wangetengeneza os yao ili iwe easy kucustomize na technology yao ya Amoled
Alafu kama mm Ile cm nimeitumia co poa sna os window kwenye Samsung co nzur
 
Sidhani kama developers watakataa apps zao zitumiwa na mamilion ya devices duniani. Kama nlivyosema mwanzoni tayari Samaung anauza almost devices 80Milion kwa mwaka. Means developers wana uhakika wa app zao kutumika huko.
Apple tayari wana eco system yao, ipo kwenye iphones, ipads, mac books. Hii ni rahisi kwa wao hata kulinda usalama wa devices za watumiaji wao. Ni kwasababu software na hardware wanatengeneza wao.
Utakuta battery ya iphone ina 1700mAh ila inafanya vizuri kuliko hata battery za Samsung zenye 3000mAh. Kwasababu hardware inakuwa customized na software kuleta optimal output.
Nokia walipotea kwenye ulimwengu wa smartphones lakini bado kuna mamilion ya loyal customers walikuwa wanawasubiri. Kuingia android kwa tech giant kama Nokia ni kosa jingine wanalolifanya.
simu 300m kwa mwaka mkuu,

kama alivyosema mdau hapo juu samsung os yao inaitwa tizen, sasa hivi tv na smartwatch zao wanatumia tizen na simu zote za samsung kwenye series ya z zinatumia tizen, mfano samsung z2, sema anatoa low end tu, hakuna simu kubwa kubwa za tizen.

ila cha kuogopesha kwenye hii tizen ni kwamba big players wote waliokuwa wanampa support samsung wamejitoa, mfano Intel, hivyo naona kama hawapo serious kwenye simu wanataka tu iwe os ya internet of things ikae kwenye mafridge, saa, tv, mashine za kufulia etc

na kuhusu battery sasa hivi samsung achana nayo, wapo dunia ya kwao even apple anasubiria, mfano angalia hizi series zao za 2017 simu kama A3, A5 na A7 ya 2017
hii ni A3 ina 2350mah tu lakini score yake ya battery ni hii
galaxy-a3-2017.jpg

na hii ni iphone 7 yenye 1960mah
gsmarena_001.jpg

hapo hata uki adjust huo ukubwa still A3 yupo juu na zote ukitoa soc mambo mengi zinafanana kama ukubwa wa display, resolution, ram etc
 
Nashukuru kwa kuniweka sawa kwenye battery life.
Kama hao big players wamekataa kwanin wasitengeneze nyingine ambayo unaweza kucustomize na internet of things?
Kama ningekuwa CEO wa Samsung Mobile ningeamuru tutengeneze eco system yetu. Ianze na mobile phones, tablets hadi personal computers.
Mwanzo mgumu ila najua matunda ya mbeleni ni makubwa mno.
Simu 300M zenye OS ya Samsung unadhani ni faida ndogo?
Hata developers wangeimezea mate hiyo Platform.
 
Hiki unachoshauri Samsung sio kitu kizuri kama unavyodhani. Unawashauri watengeneze monopoly kwa sababu wewe huna ndoto ya kuingia sokoni?! Microsoft alijitahidi sana kufanya huu ujinga na watu wamepambana hadi imefikia mahali wameanza na wao kufungua software code base zao kwenye public. Unaweza kudhani ni kitu kizuri ila ni mbaya sana kuwa na kampuni kubwa chache zinazojimilikisha soko katika sekta yeyote kwa sababu inakuwa rahisi kwao kucontrol bei na kupangia watu nini cha kufanya.
 
Nadhani sijaelewa.
 
Umenena vyema sana Mkuu Bavaria...

Jana nilikua naangalia uzinduzi wa galaxy S8 na S8+,kiukweli zinavutia sana kimuonekano kuliko iphones...

Lakini tatizo ni kwamba Operating System ya Android bado haiwashawishi watumiaji wa iOS kuhama iOS platform regardless simu bora na nzuri zinazozalishwa na kampuni kama Samsung, LG,HTC,Oneplus,Sony na Google zenye Android OS.

Android is cheap Tecno,Oppo na kampuni ndogondogo zote zinatumia Android platform kiasi kwamba unakua na uwanja mpana mno wa kuchagua simu.

Lakini ukitaka iOS ni Apple pekee ndio utaipata... Hivyo inakua rahisi Apple kuwa na diehard fans wengi... Dunia hii watu wengi hawataki kuwa cheap... Haiwezekani Android Marshmallow iliopo kwenye Samsung S7edge ya Trump akumbane nayo mtoto wa form one mji mwema kwenye Tecno W4 yake.

Ndio maana wengi wanapenda apple kutokana na status symbol + Privacy ya uhakika sababu ya Operating System yao.

Samsung ndie mpinzani mkuu wa Apple... Pia devices zake nyingi ni bora kuliko za Apple... Laiti kama angekua na OS yake,Apple angeiacha mbali sana kutokana na ukweli kwamba mpaka sasa Samsung amemuacha mbali Apple.

Mkuu mi sikubaliani na wewe!...
Iphone habari nyingine kabisa...
Kama hujawahi tumia we jaribu utanipa majibu,najua ni ushabiki....jaribu kuitumia
iPhone is more than a phone mkuu
 
Umenena vyema sana Mkuu Bavaria...

Jana nilikua naangalia uzinduzi wa galaxy S8 na S8+,kiukweli zinavutia sana kimuonekano kuliko iphones...

Lakini tatizo ni kwamba Operating System ya Android bado haiwashawishi watumiaji wa iOS kuhama iOS platform regardless simu bora na nzuri zinazozalishwa na kampuni kama Samsung, LG,HTC,Oneplus,Sony na Google zenye Android OS.

Android is cheap Tecno,Oppo na kampuni ndogondogo zote zinatumia Android platform kiasi kwamba unakua na uwanja mpana mno wa kuchagua simu.

Lakini ukitaka iOS ni Apple pekee ndio utaipata... Hivyo inakua rahisi Apple kuwa na diehard fans wengi... Dunia hii watu wengi hawataki kuwa cheap... Haiwezekani Android Marshmallow iliopo kwenye Samsung S7edge ya Trump akumbane nayo mtoto wa form one mji mwema kwenye Tecno W4 yake.

Ndio maana wengi wanapenda apple kutokana na status symbol + Privacy ya uhakika sababu ya Operating System yao.

Samsung ndie mpinzani mkuu wa Apple... Pia devices zake nyingi ni bora kuliko za Apple... Laiti kama angekua na OS yake,Apple angeiacha mbali sana kutokana na ukweli kwamba mpaka sasa Samsung amemuacha mbali Apple.

Maelezo yako unavyoyafafanua yanaonesha kabisa iPhone ni superior kuliko samsung....
 
Nashukuru kwa kuniweka sawa kwenye battery life.
Kama hao big players wamekataa kwanin wasitengeneze nyingine ambayo unaweza kucustomize na internet of things?
Kama ningekuwa CEO wa Samsung Mobile ningeamuru tutengeneze eco system yetu. Ianze na mobile phones, tablets hadi personal computers.
Mwanzo mgumu ila najua matunda ya mbeleni ni makubwa mno.
Simu 300M zenye OS ya Samsung unadhani ni faida ndogo?
Hata developers wangeimezea mate hiyo Platform.

300M sales wamefikisha kwa kua ndiyo the best players kwenye Android OS.
Unadhani wakisema galaxy S9 mfano waweke Tizen OS ambayo currently haina that many software, unahisi watauza hata 1Million devices?
The reason watu wanakimbilia the main flagships za Samsung ni kwa kua these phones have the best specs also run Android, wakibadilisha hadi devs waje kudevelop apps kwa OS yao itabidi wasukume pesa nyingi sana na inaweza fail, kumbuka kuna other players kama Google na wao wana mainflagship phone sasa hivi, Samsung ni kubwa ila kwenye simu inaweza kufa ka Nokia, zitabaki other functions tu kama micro-chips, display designs e.t.c

Kama developer, nimeona ecosystem ya Tizen, naijua in and out. Development ya apps kwenye Tizen is super boring and slow, wanatumia C/C++ hizi languages ni notorious kwa kuandika too much code kufanya so little even though performance-wise they are the fastest. Hamna that many developers wa hizi language.
 
Sidhani kama developers watakataa apps zao zitumiwa na mamilion ya devices duniani. Kama nlivyosema mwanzoni tayari Samaung anauza almost devices 80Milion kwa mwaka. Means developers wana uhakika wa app zao kutumika huko.
Apple tayari wana eco system yao, ipo kwenye iphones, ipads, mac books. Hii ni rahisi kwa wao hata kulinda usalama wa devices za watumiaji wao. Ni kwasababu software na hardware wanatengeneza wao.
Utakuta battery ya iphone ina 1700mAh ila inafanya vizuri kuliko hata battery za Samsung zenye 3000mAh. Kwasababu hardware inakuwa customized na software kuleta optimal output.
Nokia walipotea kwenye ulimwengu wa smartphones lakini bado kuna mamilion ya loyal customers walikuwa wanawasubiri. Kuingia android kwa tech giant kama Nokia ni kosa jingine wanalolifanya.
Samsung wamechelewa sana kuanzisha OS yao saivi, we unasema 80 million customers, na ANdroid as Android ina Users wangapi? then developers kwenda Tizen ni kama kubahatisha kwao, vipi watu wataipokeaje hio OS mpya? kitu gani kitaifanya hio OS mpya kupendwa na watu mpaka wakanunua simu yako? Kumbuka Meego nayo imebuma, it was from Nokia, na naamini hakuna kampuni yenye fans wengi kuliko Nokia, hata sasa ivi pamoja na kuwa imeanguka lakini bado watu wanahamu sana na nokia kuliko samsung au simu yoyote ile, lakini wamebuma pamoja na kuja na OS yao mpya, na ndivo ivo ivo kwa samsung itakavokuwa, kuja na OS mpya una take risk, atadidimia kwa lazima tu, na atakuwa na hatari kuja kuwa kama Nokia na yeye mana kuna waliozoa Android, watatoka Samsung kuja LG na nyenginezo, kwaio lazima atulize kitenesi android, Alichotakiwa kufanya hapo hapo android, abadilishe UI totally, na awe anatoa updates zake mwenyewe fully sio kusubiria Google atafute jina la peremende aipe OS yake.

Kinachowasaidia Apple devices zao kuwa secured ni jinsi walivoifanya kuwa closed platform, huwezi kudownload app kama hujapitia Apple store, labda ujailbreak na ukijailbreak kama ulikuwa na warranty hapo ndio mwisho wa warranty yako. Google play store sijui kama hata wanazitizama apps, naona kama ukitengeza waitupa tu playstore, ndio maana unakuta viprogram ambavyo vinakutilia virus na malwares. Hardware hawatengezi Apple, na hardware zao zinatoka kwa hao hao Samsung baadhi, nyengine Foxconn, wao wanatengeza software tu, kinachowasaidia wao ni kwamba software wanayoitengeza wao, wanaitengeza kwa mujibu wa hardware specs walizotaka watengezewe, ndio maana ipo smooth katika operation, sasa android nao, google aitupa tu update, utajijua mwenyeo kama hardware zako hazitokidhi ama vipi. Suala la betri nafikiri samsung is better kuliko Iphones, labda unambie kuwa katika iphone kuna dual processors ambazo unaweza kuona simu iko smoothe kuliko samsung yenye octacore processors unaikuta na lagging.... hii ni software optimization.

Nokia imefall, nokia saivi kwanza haitengezwi na wale Nokia original wa zamani asa, saivi ni kampuni imenunua naming license tu nafikiri, yaani kama wewe hapo unakwenda tecno wakati imekufa unanunua naming rights ukianza kutrengeza zako naziita tecno.
 
Ndio maana wengi wanapenda apple kutokana na status symbol + Privacy ya uhakika sababu ya Operating System yao.

Ni kweli wengi wanapenda iPhone kama status symbol, mtu huyu ukitizam simu yake mna whatsapp, instagram, snapchat na photo editing apps, basi! amenunua ili apate status symbol tu. Lakini kuna wengine hawatumii kwa sababu ya status symbol, ila kwa sababu OS yake iko smooth katika kufanya shughuli zake za kazi, unlike android, android naona ni sawa na kusema windows OS tu, nakumbuka zamani ikifreeze ndo utaona utamu wake unajaza screen na tabs tu :D Ukija kwenye Privacy, mhhh, labda iphone wanasaidia sana apps zisichukue info from you bila permission, lakini hii ni US company, NSA ndio macho yao, juzi tu kuna skendo kwamba NSA wanachunguza iPhones

Samsung ndie mpinzani mkuu wa Apple... Pia devices zake nyingi ni bora kuliko za Apple... Laiti kama angekua na OS yake,Apple angeiacha mbali sana kutokana na ukweli kwamba mpaka sasa Samsung amemuacha mbali Apple.
hapa mkuu devices za apple zinaweza kukaa mitaani kwa miaka mingi sana kuliko hata huyo Samsung, hapa nazungmzia products zote na hasa laptops. Nilikuwa na Lenovo brand new natumia, nimetumia kwa one year tu laptop imeanza maajabu yake ya windows kama kawaida, full kufreeze, tena ina Anti virus ambayo imekuwa installed kabisa yaani kitu genuine, yaani imekuwa inaboa kabisa kuitumia, mpaka kazi zangu nkawa sifanyi vizur, ofisini nnapofanya kazi mwenzangu ana macbook pro ya 2010, yaani anapiga mzigo fresh haisumbui, ilibid ninunue tu na kuweka lenovo pembeni, sasa we imagine, tangu 2010 mpaka leo miaka mingap kitu bado kipo mzigoni? OS za Apple ndio zinawasaidia sana ila kwenye iPhones Apple wanyambi, wanaktisha updates za new iOS unaikuta simu yako unaishia kupiga na kupokea na kupiga picha, hapa wanafanya makusudi kuforce watu wanunue simu nyengine, hapa wameboa sana!!!!!
 
Samsung ni moja ya makampuni makubwa duniani kwenye uwanja wa teknolojia. Kutengeneza simu zinazotumia Android OS naona kama ni embarasment kwa kampuni kubwa hivi.
Sidhani kama watashindwa kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye R&D ya kutengeneza OS yao.
Faida kubwa watakayopata ni ku-customize software na hardware kama Apple na Windows Phone wakati ule. Na hata tatizo lililoikumba Note 7 lisingetokea mwaka jana.
Faida nyingine ni kuwa na loyal customers ambao itawawia vigumu kuwahama kwasababu ya uniqueness ya OS yao. Mfano kwa sasa iphone na nokia ya wakati ule wameshatengeneza loyal customers kiasi kwamba kuhama platform zao imekuwa shida sana.
Ila kutumia android kuna wapa wateja option ya kuipata android sehemu nyingine na hata ushindani na makampuni mengine yanayotengeneza simu za Android unakua mkubwa. Ila wakiwa na OS yao watawapa ugumu loyal customers kuhama brand.
Play store imejaa malware, kila mtu anaweka app yake hata kama imekaa hovyohovyo. Wakiwa na OS yao, hawatawapa mwanya developers wanaoweka uchafu kwenye store watakayoitengeneza.
Samsung anauza mamilion ya simu, sio mbaya kuanza tayari anauza simu nyingi kwa mwaka.
Tunahitaji varieties za OS sokoni, kuwa na Os chache kunakinaisha.
Mbona samsung walishatengenesa OS yao ya BADA. Ikakosa umaarufu na baadae walijoint na Tizen.

Bada OS - Mobile terms glossary - GSMArena.com

Tatizo la kuanzisha OS yake mwenyewe lipo kwenye Apps. Wateja wanapenda kuwa na free Apps nyingi, customizations kibao yaani vimichezo michezo vya hapa na pale pamoja na games za uhakika. Unaona mfano Blackberry inapoteza umaarufu kwasababu ya uchache wa developers pia windows phone nao hivyo hivyo. Ma si rahisi kwa wao kutoa OS na kuifanya OPEN SOURCE , watahitaji maslahi zaidi.
 
Back
Top Bottom