Mkuu chrome ina speed nzuri ili mradi intanet yako haisumbui, tatizo la google wanapenda kutrack karibia kila kitu unachofanya.
Mozilla iko vizuri especially kwa security na privacy, lakini speed inasubiri kwa chrome japo ni nzuri pia.
UC browser naipendea uwezo wake wa kupause kudownload, kama bundle limeisha unaweza kupause, na kuendelea hata kesho yake. Nadhani pia UC browser wanacompress web pages kama Opera ili kutumia mbs chache.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.