Iphone 4s icloud.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Wakuu nauza iphone 4s nyeupe yenye icloud,bei tsh 60,000/=
Nipo Dar.
Mawasiliano
0713724242
 
Hahahahahah 4s GB 32 vision 9.5 white no mchubuko n yangu na INA id yangu haina tatizo alafu siuz
 
Wasiliana na mwenye nayo atakupa hiyo 60,000......
Angalia usijekutana na kesi ya mauaji.!
Khee kheee kheee!
Nina iphone jamaa aliiba akanirudishia kiaina eti aliiokota baada ya siku tatu, nikampa buku 15 za kuwa smart na kurudisha simu na kupata 15000.
 
Kama unaweza kumpata mwenye nayo mtafute, anaweza kukupa hata zaidi ya hiyo 60,000
 
Back
Top Bottom