hii ndio simu ambayo inapasuka kioo kirahisi kushinda flagship zote ambazo samsung wametoa,pia baadhi ya wateja wameanza kulalamika kuwa upande wa speaker zinazingua kwa kukatakata sauti
kumbuka ile ishu ya display kujikoleza rangi nyekundu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.