Naomba msaada

misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
13,917
9,729
Habari zenu wana jf simu yangu j7 prime leo imeanza na tatizo inajizima na kujiwasha na tatizo lingine nashindwa kuangalia baadhi ya vitu kuna apps inaingilia.

Naomba msaada wenu wakuu kipi nifanye.
 
Huenda ina virus.
Jaribu kuinistall bitdefender kisha iscan

Kwa msaada zaidi ngoja wataalam waje.
 
Hili tatizo linatokea kwenye j7 na j5, nimetumia j5 prime tatizo kama hili limetokea mara kwa mara sikupata ufumbuzi nikaona niuze kabla haija R.I.p kabisa......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom