Tempon
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 234
- 382
Jana nimenunua Bundle la Buku 1 GB Line ya chuo haikuchuka Hata lisaa bundle likakata Nilikuwa nimeunga na PC internet Hotspot nkahisi labda window ina update automatic, Leo asubuhi nimeweka tena elfu moja nkajiunga 1 GB matokeo yake Hata lisaa halijaisha natumiwa text huna MB za kuperuzi sijaunga Simu na Pc wala sijadownload Chochote zaidi ya kuperuzi Jf, Napiga customer care ile wanataka kuniconnect na muhudumu niongee nae inakata hapo, Facebook wamefunga wall yao Nawaza nitupe hii Laini