marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Samahani naombeni kujua kama kuna mtu alishawahi kununua application yeyote ile play store; alinunuaje maana kuna application flani ya music nataka kuinunua ni ya Sony ila mimi nilifanikiwa kudownload trial so nimeipenda nataka ninunue ili niitumie kwa uhuru sasa.
Nawasilisha.
Nawasilisha.