Nahitaji kutngeneza "app"

mwanike wa ukaya

Senior Member
Feb 3, 2017
115
79
Naombeni msaada ndugu. Zangu
Nahitaji application so nauliza nahitaji vitu gani au wajuzi mniambie sh ngap gharama na watengenezaji nawaomba kama wapo inbox
b62b43f0f4ea1fbb436065a9b51be8be.jpg
 
Naombeni msaada ndugu. Zangu
Nahitaji application so nauliza nahitaji vitu gani au wajuzi mniambie sh ngap gharama na watengenezaji nawaomba kama wapo inbox
b62b43f0f4ea1fbb436065a9b51be8be.jpg
Laki Moja to Laki 6 ! Inategemeana na aina ya App unayoitaka na its complexity
 
Back
Top Bottom